Maji Ni Uchumi
Timu ya SAM ya Wilaya Mtwara chini ya Taasisi ya Door of Hope Tanzania imetembelea Mradi wa Maji kata ya Magengeni kujua hali ya mradi na ufanisi wake. Kabla wamefanya kikao na Uongozi wa kata na kukutana na kamati ya maji ngazi ya jamii. Mradi unatoa maji na umeondoa usumbufu kwa wananchi. #MajiniUchumi#MajiniUstawi#MajiniAfya#SAM2020#Sammtwara