Citizens’ participation
Ushiriki wa wananchi kwenye mikutano ya kila robo ngazi ya kijiji/mtaa ni takwa la kisheria, na ni jukwaa lao la Kidemokrasia. Kutoitisha mikutano hiyo ni kuwanyima wananchi haki ya kupanga, kutoa maoni na kusimamia rasilimali zao.
Citizens’ participation in quarterly meetings is a legal requirement, and is their Democratic platform. Failure to convene such meetings is to deprive citizens of the right to plan, comment and manage their resources.